//Font select and font size $FontName = Arial $FontSize = 30 //Character attributes (global) $Bold = FALSE $UnderLined = FALSE $Italic = FALSE //Position Control $HorzAlign = Center $VertAlign = Bottom $XOffset = 0 $YOffset = 0 //Contrast Control $TextContrast = 15 $Outline1Contrast = 8 $Outline2Contrast = 15 $BackgroundContrast = 0 //Effects Control $ForceDisplay = FALSE $FadeIn = 0 $FadeOut = 0 //Other Controls $TapeOffset = FALSE //$SetFilePathToken = <<:>> //Subtitles 00:00:00:10,00:00:04:20,2. Kubwa ni Bora 00:00:06:18,00:00:09:04,Usiku macho yako, hujifiti kwenye kiza 00:00:09:05,00:00:13:08,Kiini cha jicho lako hutoa hutanuka kuruhusu mwanga zaidi kuingia machoni mwako 00:00:13:09,00:00:18:14,Matokeo yake, unaweza kuona vitu vilivyofifia na nyota dhaifu 00:00:18:15,00:00:22:10,Sasa fikiria ungekuwa na viini vya macho venye upana wa mita moja 00:00:22:11,00:00:26:16,Ungeonekana mtu wa ajabu lakini pia ungekuwa na uwezo wa kuona usio wa kawaida 00:00:26:17,00:00:30:03,Na hiyo ndiyo darubini zinavyokufanyieni 00:00:32:14,00:00:35:08,Darubini ni kama mrija mkubwa 00:00:35:09,00:00:40:23,Lenzi yake kuu au kioo hukusanya mwanga wa nyota na kuuelekeza wote machoni mwako 00:00:43:18,00:00:48:12,Lenzi au kioo cha darubini zikiwa kubwa, mwanga hafifu zaidi utakavyoweza kuona 00:00:48:13,00:00:51:10,Hivyo kimo, kwa kweli, ndicho kila kitu 00:00:51:11,00:00:54:02,Lakini ni ukubwa upi unaoweza kutengenezea darubini? 00:00:54:03,00:00:57:03,Naam, bila shaka si kubwa sana kama ikiwa ni kielekezi mwanga 00:01:00:03,00:01:03:10,Mwanga wa nyota lazima upitie kwenye lenzi kuu 00:01:03:11,00:01:06:19,Na hivyo unaweza kuishikilia kwenye ncha zake 00:01:06:20,00:01:12:15,Lakini sasa ukizifanya lenzi kuwa kubwa mno itakuwa nzito mno na itaanza kuharibika sura kutokana na uzito wake. 00:01:12:16,00:01:16:08,Hiyo ina maana kwamba taswira itaharibika 00:01:18:01,00:01:25:01,Kielekezi kikuu katika historia kilimalizika 1897 kwenye Kituo cha Yerkes nnje ya Chicago 00:01:25:02,00:01:28:05,Lenzi yake kuu ilikuwa kiasi cha zaidi ya mita moja mbele 00:01:28:06,00:01:32:20,Lakini kijisilinda chake lilikuwa kirefu cha kushangaza, mita18 urefu 00:01:32:21,00:01:39:10,Ilipokamilishwa darubini ya Yerkes, watengenezaji wa darubini-elekezi walikwisha fikia kikomo chao 00:01:39:11,00:01:41:14,Unahitaji darubini kubwa zaidi? 00:01:41:15,00:01:43:13,Fikiria vioo. 00:01:47:18,00:01:53:19,Katika darubini rejeshi, mwanga huakisiwa na kioo badala ya kupenya kwenye lenzi 00:01:53:20,00:02:00:03,Kwa maana kwamba unaweza kukifanya kioo kuwa chembamba zaidi kuliko lenzi na kuweza kukishikilia kutoka nyuma 00:02:00:04,00:02:05:08,Matokeo ni kwamba unaweza kujenga vioo vikubwa zaidi kuliko lenzi 00:02:06:07,00:02:10:10,Vioo vikubwa vilifika Califonia kusini karne moja iliyopita 00:02:10:11,00:02:15:15,Wakati huo, Mlima Wilson, kilikuwa ni kilele cha juu katika uwanda wa Milima ya San Gabriel 00:02:15:16,00:02:19:20,Anga ilikuw safi bila mawingu na nyakati za usiku wa kiza kilikuwa kamili. 00:02:19:21,00:02:24:09,Hapa George Ellery Hale, kwanza alijenga darubini ya mita 1.5 00:02:24:10,00:02:29:02,Ndogo zaidi kuliko ilie ya kongwe Bwana Rosse, ambayo ilikuwa ya ubora mzuri zaidi 00:02:29:03,00:02:32:22,Na ilikuwa pahala pazuri zaidi pia 00:02:32:23,00:02:38:09,Hale alizungumza na mfanyibiashara mwenyeji John Hooker kuhusu gharama za ujenzi wa chombo cha mita 2.5 00:02:38:10,00:02:43:06,Tani za kioo na chuma kilichonyooshwa vilikusanya juu ya Mlima Wilson 00:02:43:07,00:02:46:18,Darubini ya hooker ilikamilishwa mwaka 1917 00:02:46:19,00:02:50:24,Itabakia kuwa ndiyo kubwa kuliko zote duniani kwa miaka 30 00:02:51:00,00:02:56:03,Kipande kikubwa cha zana ya kivita ya kianga, tayari kwa kuushambulia Ulimwengu 00:02:59:04,00:03:01:20,Na mashambulio, ilifanya. 00:03:01:21,00:03:04:23,Pamoja na ukubwa wa ajabu wa darubini hii mpya, nacho kikaleta 00:03:04:24,00:03:07:23,mabadiliko/mageuzi ya namna ishara ilivyoonekana 00:03:07:24,00:03:11:12,Wanaastronomia hawakuhitaji kuendelea kuchungulia ndani ya jicho la hilo dude jipya 00:03:11:13,00:03:16:16,Badala yake, mwanga ulikusanywa kwenye sahani za picha kwa masaa kadhaa wa kadhaa. 00:03:16:17,00:03:21:13,Hakukuwako yeyote kabla aliyechungulia kwenye anga 00:03:21:14,00:03:25:21,Mawingu katika anga ya juu umbo la hesi ilionekana kung’ara na nyota nyingi 00:03:25:22,00:03:30:07,Zinaweza kuwa mifumo ya nyota ziangukazo kama Njia ya Nyota (Miliky Way) yetu? 00:03:30:08,00:03:34:12,Katika Nebula ya Andromeda, Edwin Hubble aligundua aina maalum ya nyota 00:03:34:13,00:03:38:02,ambayo hubadilisha nuru yake kwa usahihi wa ki-saa 00:03:38:03,00:03:42:11,Kutokana na umakinifu wake, Hubble aliweza kukadiria umbali wa kwenda Andromeda. 00:03:42:12,00:03:46:17,Karibuni miaka milioni ya mwendo mwanga 00:03:46:18,00:03:53:11,Nebula ya kihesi, kama Andromeda, ni wazi zilikuwa galaksi binafsi kwa namna yao 00:03:55:03,00:03:58:01,Lakini hiyo hakikuwa ndicho kitu pekee cha ajabu 00:03:58:02,00:04:02:18,Galaksi nyingi ya hizi zilionekana zikiahama kutawanyika kutoka galksi yetu ya Njia ya Nyota 00:04:02:19,00:04:08:08,Juu ya Mlima Wilson, Hubble aligundua kwamba galaksi za karibuni zilikuwa zikituondoka kwa kasi ndogo 00:04:08:09,00:04:13:05,wakati, zile galaksi za mbali zilikuwa zikitukimbia kwa kasi kubwa 00:04:13:06,00:04:14:11,Mwisho wake? 00:04:14:12,00:04:17:06,Ulimwengu ulikuwa ukipanuka. 00:04:17:07,00:04:24:03,Darubini ya Hooker iliwapa wanasayansi ugunduzi mkubwa wa kistronomia katika karne ya 20. 00:04:26:19,00:04:31:08,Tukitoa shukrani kwa darubini, tumeweza kufuatilia historia ya Ulimwengu 00:04:31:09,00:04:35:15,Chini kidogo ya miaka bilioni 14 iliyopita, Ulimwengu ulianza 00:04:35:16,00:04:39:23,baada ya kishido kikubwa cha muda na pahala, kitu, nishati, na kuitwa 00:04:39:24,00:04:42:07,Mshindo Mkubwa (Big Bang) 00:04:42:08,00:04:48:04,Vijiwimbi vidogo sana vya nishati vilikuwa vikawa vijieneo vizito katika mchanganyiko wa mwanzo 00:04:48:05,00:04:50:22,Kutokana na hivi, galaksi zikajikunja/zikasinyaa 00:04:50:23,00:04:54:13,Aina nzuri mno kwa vipimo na maumbo 00:04:57:06,00:05:01:03,Mchanganyiko wa kinyuklia ndani ya mihimili ya nyota ulizalisha/ulisababisha atom mpya 00:05:01:04,00:05:05:14,Kaboni, oksijeni, chuma, dhahabu 00:05:05:15,00:05:10:08,Mipasuko ya nova za hali ya juu kabisa zilizirudisha sehemu hizi nzito angani 00:05:10:09,00:05:13:20,Malighafi kwa kuundia nyota mpya 00:05:13:21,00:05:15:13,Na sayari! 00:05:17:13,00:05:25:15,Siku moja, pahala fulani, kwa namna fulani, molikuli sahali zilijibadili na kuwa molikuli makhuluku na kubadilika kuwa viumbe hai 00:05:25:16,00:05:31:07,Maisha ni maajabu mamoja katika Ulimwengu unaobadilika daima 00:05:31:08,00:05:33:15,Sisi ni vumbi-nyota 00:05:33:16,00:05:37:18,Ni uoni mkuwa na hadidhi ndefu 00:05:37:19,00:05:41:22,Imeletwa kwetu kupitia umakinifu wa darubini 00:05:41:23,00:05:46:09,Fikiria, bila ya darubinia tungejua kuhusu sayari sita tu 00:05:46:10,00:05:48:22,mojawapo mwezi, na nyota maelefu machache 00:05:48:23,00:05:53:03,Astronomia ungebakia kwenye uchanga wake 00:05:54:08,00:05:58:04,Kama wa mali zilizozikwa, matawi ya Ulimwengu yametuelekeza kwenye. 00:05:58:05,00:06:00:18,ya kihatarihatari tangu zama za mbali/zamani sana 00:06:00:19,00:06:06:04,Watawala wa siasa na viwanda, sawa sawa na wanasayansi. 00:06:06:05,00:06:10:23,wamesikia mvuto wa anga, na kupitia mahitaji 00:06:10:24,00:06:16:03,kwa njia tendezi, eneo la uguduzi limepanuka kwa haraka 00:06:30:11,00:06:33:09,George Ellery Hale alikuwa na ndoto moja ya mwisho: 00:06:33:10,00:06:37:16,Kujenga darubini mara mbili kwa ukubwa kama kilivyo kishikizi cha rekodi ya mwanzo 00:06:37:17,00:06:41:15,Kutana na ajuza wa utabiri wa karne ya 20 00:06:41:16,00:06:46:15,Mita tano za telelskopu ya Hale kwenye Mlima Palomar. 00:06:46:16,00:06:51:06,Zaidi ya tani 500 ya uzito wa mwendo, lakini bado uko sawa sawa kiusahihi kabisa 00:06:51:07,00:06:55:09,Kwamba inatembea kwa madaha mfano wa mshindo wa dansa wa kike 00:06:55:10,00:07:00:23,Kioo chake cha tani 40 kinaonesha nyota mara milioni 40 hafifu kuliko jicho liwezavyo kuona 00:07:00:24,00:07:05:23,Ilimamalizika 1948, darubini ya Hale ilitoa maoni ya kipekee juu ya sayari 00:07:05:24,00:07:09:13,vikundi/vifungu vya nyota, nebula na galaksi 00:07:11:18,00:07:15:17,Sayari kubwa ya Mshtarii, na miezi yake mingi 00:07:15:18,00:07:19:19,Wingu la Moto unaostaajabisha 00:07:19:20,00:07:24:23,Vishirizi hafifu vya gesi ndani ya Wingu la Orion 00:07:30:13,00:07:32:20,Lakini tungeweza kwenda zaidi bado? 00:07:32:21,00:07:36:23,Naam, wanaanga wa Soviet walijaribu katika miaka ya mwisho ya 1970 00:07:36:24,00:07:41:08,Juu ya milima ya Cancasus, walijenga teleskopu ya Bolshoi Azimutalnyi 00:07:41:09,00:07:45:15,wakiwana kioo cha msingi cha upana ya mita sita 00:07:45:16,00:07:48:08,Lakini haikufikia vile ilivyotarajiwa 00:07:48:09,00:07:52:11,Ilikuwa kubwa mno, ghali mno na ngumu mno 00:07:52:12,00:07:55:17,Je watengenezaji wa darubini walilazimika kukata tamaa wakati huo? 00:07:55:18,00:07:59:05,Je walilazimika kuzika ndoto zao juu ya vyombo vikubwa zaidi? 00:07:59:06,00:08:02:17,Je, historia ya darubini ilikoma kabla ya wakati? 00:08:02:18,00:08:04:02,Hapana, sivyo 00:08:04:03,00:08:07:05,Leo tuna teleskopu ya mita 10 inayotumika 00:08:07:06,00:08:09:21,Na kubwa zaidi zimo katika mipango 00:08:09:22,00:08:11:10,Utatuzi ulikuwa upi? 00:08:11:11,00:08:13:08,Tekinolojia mpya.