//Font select and font size $FontName = Arial $FontSize = 30 //Character attributes (global) $Bold = FALSE $UnderLined = FALSE $Italic = FALSE //Position Control $HorzAlign = Center $VertAlign = Bottom $XOffset = 0 $YOffset = 0 //Contrast Control $TextContrast = 15 $Outline1Contrast = 8 $Outline2Contrast = 15 $BackgroundContrast = 0 //Effects Control $ForceDisplay = FALSE $FadeIn = 0 $FadeOut = 0 //Other Controls $TapeOffset = FALSE //$SetFilePathToken = <<:>> //Subtitles 00:00:00:00,00:00:04:19,3. Kuoplewa na Teknolojia 00:00:04:25,00:00:08:20,Kama ilivyo kwa magari ya kisasa kutoendelea kuonekana kama yale ya modeli za zamani kama vile Ford T, hivyo ni 00:00:08:21,00:00:12:07,darubini za kisasa ni tofauti kabisa na zile za tangulizi zao za jadi. 00:00:12:08,00:00:14:17,kama vile darubini meta tano ya Hale. 00:00:14:18,00:00:17:22,Kwa kuanzia, mshikio wake ni mdogo zaidi. 00:00:17:23,00:00:21:21,Muundo wa mshikio wake ni wa kizamani ni ule wa kiikweta ambamo mhimili mmoja 00:00:21:22,00:00:25:18,kwa kawaida inaundwa sambamba na mihimili ya mzunguko wa dunia. 00:00:25:19,00:00:29:12,Ili kuwa sambamba na mwendo wa anga, darubini kwa kawaida 00:00:29:13,00:00:34:05,inazunguka katika mhimili huu kwa mwendo kasi uleule ambao dunia inajizunguka. 00:00:34:06,00:00:37:04,Rahisi, lakini yenye kuhitaji nafasi. 00:00:37:05,00:00:42:01,Miundo ya kisasa ya “mwinuko.uelekeo” ni ndogo zaidi. 00:00:42:02,00:00:46:11,Kwa mshikio kama ule, darubini inalengwa kama mzinga. 00:00:46:12,00:00:51:06,Kawaida mtu anachagua uelekeo, na anachagua mwinuko, na yuko tayari kuanza. 00:00:51:07,00:00:54:16,Tatizo ni kwenda sambamba na mwendo wa anga. 00:00:54:17,00:01:00:06,Darubini zinatakiwa kuzunguka katika mihimili yote miwili, na kwa miendo ya kasi tofauti 00:01:00:07,00:01:06:18,Kimsingi hili linawezekana pale tu darubini zinapodhibitiwa na kompyuta. 00:01:06:19,00:01:08:21,Mshikio mdogo ni rahisi kujenga. 00:01:08:22,00:01:13:13,Zaidi ya hayo, inaweza kukaa kwenye kuba ndogo ambayo inapunguza gharama zaidi 00:01:13:14,00:01:16:08,na inaongeza ubora wa picha. 00:01:16:09,00:01:19:20,kwa mfano, chukua darubini pacha za Keck huko Hawaii. 00:01:19:21,00:01:22:15,Ingawaje vioo vyake vya meta 10 ni vikubwa mara mbili kwa ukubwa kama kimoja 00:01:22:16,00:01:26:11,cha darubini ya Hale, hata hivyo zinakaa kwenye makuba madogo 00:01:26:12,00:01:29:06,Kuliko ile iliyoko kwenye Mlima wa Palomar. 00:01:31:01,00:01:33:11,Vioo vya darubini vimebadilika pia. 00:01:33:12,00:01:35:03,Vilikuwa vinene na vizito. 00:01:35:04,00:01:37:21,Sasa ni vyembamba na vyepesi 00:01:37:22,00:01:42:20,Maganda ya kioo ambayo yanaweza kuwa meta kadhaa kwa upana yanatengenezwa oveni zinazozunguka. 00:01:42:21,00:01:46:08,Na bado ni vyembamba kuliko sentimeta 20 kwa unene 00:01:46:09,00:01:48:25,Muundo wake unasaidia kukinga kioo chembamba hicho. 00:01:49:01,00:01:51:05,kutopasuka kutokana na uzito wake chenyewe. 00:01:51:06,00:01:55:03,Kompyuta inadhibiti pistoni na aktoata na hii inasaidia kukiweka kioo hiki 00:01:55:04,00:01:56:21,katika umbo kamili ipasavyo. 00:01:59:09,00:02:01:13,Mfumo huu unaitwa stadi tendaji ya mwanga (active optics). 00:02:01:14,00:02:05:21,Wazo ni kufidia na kusahihisha ugeuzi wowote wa kioo kikuu 00:02:05:22,00:02:10:14,Unaosababishwa na nguvu ya uvutano wa gravity, upepo au mabadiliko ya joto. 00:02:10:15,00:02:14:06,Sasa, kioo chembamba pia kina uzito mdogo zaidi. 00:02:14:07,00:02:17:11,Hii ina maana kwamba muundo wake wote unaokisaidia, ikijumuisha mshikio wake 00:02:17:13,00:02:19:11,–ziaweza pia kuwa kisawazishi cha kutosha na chepesi. 00:02:19:12,00:02:21:14,Na bei nafuu! 00:02:21:15,00:02:24:09,Sasa hapa kuna Darubini ya teknolojia mpya ya meta 3.6 00:02:24:10,00:02:27:19,–iliyojengwa na wataalamu wa anga wa Ulaya mwishoni mwa miaka ya 1980. 00:02:27:20,00:02:30:21,Ilitumika kama kisehemu cha majaribio kwa teknolojia mpya nyingi 00:02:30:22,00:02:32:03,katika kuunda darubini. 00:02:32:04,00:02:36:25,Na hata eneo lake halina chochote kinachofanana na majengo makubwa ya darubini ya kizamani. 00:02:37:01,00:02:40:06,Teknolojia mpya ya darubini ilikuwa ya mafanikio makubwa. 00:02:40:07,00:02:43:07,Ulikuwa ni wakati wa kupita kikwazo cha meta sita. 00:02:43:14,00:02:47:10,Kituo cha Mauna Kea kipo kwenye sehemu ya juu kabisa katika bahari ya Pasifiki. 00:02:47:11,00:02:50:24,meta 4200 kutoka usawa wa bahari. 00:02:52:24,00:02:57:03,Kwenye fukwe za Hawaii, watalii wanafurahia jua na mapovu ya mawimbi ya maji. 00:02:57:04,00:03:00:13,Lakini juu zaidi yake wataalamu wa anga wanakumbana na baridi ya kukatisha tama. 00:03:00:14,00:03:07:04,na mwinuko kutokidhi katika hamasa ya kuchunguza siri za ulimwengu. 00:03:07:05,00:03:10:03,Darubini ya keki ni miongoni mwa darubini kubwa ulimwenguni. 00:03:10:04,00:03:15:03,Vioo vyake vinapenya meta 10, na ni vyembamba. 00:03:15:04,00:03:20:01,Imetiwa kwa vigae kama sakafu ya maliwatoni,vina visehemu 36 vya pembe sita 00:03:20:02,00:03:23:12,kila kimoja kinadhibitiwa kwa utaratibu wa nano meta (sehemu ya milionimoja ya sentimeta). 00:03:23:13,00:03:27:05,Haya ni majitu hasa, yakiwa yamejifunga kuchunguza anga 00:03:27:06,00:03:30:03,Ukuu wa sayansi. 00:03:30:04,00:03:32:15,Utusiutusi kwenye Mauna Kea. 00:03:32:16,00:03:37:18,Darubini za Kek huanza kuchukua picha kutoka sehumu za mbali za Ulimwengu wetu. 00:03:37:19,00:03:40:13,Vioo vyake pacha vimeungana na kuifanya kuwa kubwa ya kufaa 00:03:40:14,00:03:43:11,kuliko darubini zote za mwanzo. 00:03:43:12,00:03:46:09,Kitu gani kitanaswa usiku wa leo? 00:03:50:16,00:03:55:13,Jozi ya kundi la nyota (galaksi) zinazogongana, mabilioni ya miaka ya mwanga iliyopita? 00:03:55:14,00:04:01:08,Nyota inayokufa, inazovuta pumzi yake ya mwisho kwenye sayari ya nyota nyingi za mbali sana? 00:04:01:09,00:04:07:01,Au inaweza kuwa sayari katika jua lingine ambayo inaweza kuhifadhi maisha? 00:04:07:02,00:04:11:23,Huko Cerro Parna Katika jangwa la Atacama nchini Chile – sehemu ya ukame kabisa ulimwenguni. 00:04:11:24,00:04:16:01,tunagundua kwa mbali mashine ya anga kubwa ambayo haijawahi kutengenezwa. 00:04:16:02,00:04:19:14,Darubini Kubwa Sana ya Ulaya(European Very Large Telescope VLT) 00:04:32:04,00:04:35:13,VLT kwa hakika ni darubini nne katika moja. 00:04:35:14,00:04:38:19,Kila moja ina kioo cha meta 8.2 00:04:38:20,00:04:40:03,Antu 00:04:40:04,00:04:41:06,Kueyen 00:04:41:07,00:04:42:08,Melipal 00:04:42:09,00:04:43:19,Yepun 00:04:43:20,00:04:49:11,Majina ya wenyeji wa Mapuche kwa jua, mwezi Msalaba wa Kaskazini na Venus. 00:04:49:12,00:04:53:20,Vioo vikubwa vilitengenezwa Ujerumani, vikang’arishwa Ufaransa, vikasafirishwa Chile 00:04:53:21,00:04:57:06,na kisha taratibu vikasafirishwa kuvuka jangwa. 00:04:57:07,00:05:00:24,Wakati wa machweo, eneo la darubini linajifungua. 00:05:01:00,00:05:04:14,Mwanga wa nyota unamwagikia kwenye vioo vya VLT. 00:05:05:06,00:05:08:02,Ugunduzi mpya unafanyika. 00:05:11:22,00:05:14:04,Leza (chombo cha kukuza na kushadidisha miale kuelekea upande mmoja) kinapenya anga ya usiku. 00:05:14:05,00:05:16:17,Kinaonyesha nyota bandia kwenye angahewa 00:05:16:18,00:05:19:21,kilometa 90 kutoka usawa wa vichwa vyetu. 00:05:19:22,00:05:22:23,Vigundushi vya mawimbi vinapima namna picha ya nyota ilivyoharibiwa 00:05:22:24,00:05:25:03,na zahama za angahewa 00:05:25:04,00:05:28:24,Kisha, kwa haraka kompyuta zinaonyesha kioo kiinachopindika kinavyotakiwa kuwa 00:05:29:00,00:05:31:20,kinajikuja chenyewe ili kurekebisha uharibifu ulioonekana. 00:05:31:21,00:05:34:24,Kwa kweli ni kama kugeza ufifio wa nyota. 00:05:35:00,00:05:38:15,Hii inaitwa stadi rekebishi ya kuona na mwanga na mbinu za maajabu yake makubwa 00:05:38:16,00:05:40:08,ya anga ya leo hii. 00:05:40:09,00:05:44:21,Bila hiyo, mtazamo wetu wa ulimwengu ungeonekana kuwa wa maruweruwe na angahewa. 00:05:44:22,00:05:48:22,Lakini kutokana nayo picha yetu imekuwa nzuri kabisa. 00:05:51:11,00:05:55:12,Sehemu nyingine ya ulozi wa kuona unajulikana kama “mwingiliano wa mwanga”(interferometry). 00:05:55:13,00:05:59:09,Wazo ni kuchukua mwanga kutoka kwenye darubini mbili tofauti na ku 00:05:59:10,00:06:02:16,kuiweka pamoja katika eneo moja wakati tunahifadhi. 00:06:02:17,00:06:05:08,uwiano wakuhama kati ya mawimbi ya mwanga. 00:06:05:09,00:06:09:04,Kama imefanywa kwa usahihi wa kutosha matokeo yake ni kwamba darubini hizo mbili 00:06:09:05,00:06:12:15,zitatenda kama vile zilikuwa sehemu ya kitu kimoja, kioo kikubwa kabisa 00:06:12:16,00:06:15:23,kubwa kama umbali kati yao. 00:06:15:24,00:06:20:01,Kwa kweli, mwingiliano ya mawimbi inaipa darubini yako uwezo wa kunasa kama vile dira. 00:06:20:02,00:06:23:15,Inaruhusu darubini ndogo kugundua kiwango kikubwa cha usahihi, ambacho 00:06:23:16,00:06:28:11,vinginevyo kingeweza tu kuonekana kwa kutumia darubini kubwa zaidi. 00:06:28:12,00:06:31:15,Darubini pacha za Kek kwenye Mauna Kea mara kwa mara zinafanya kazi kwa pamoja . 00:06:31:16,00:06:33:13,kama darubini ya mwingiliano wa mwanga. 00:06:33:14,00:06:37:11,Kwa upande wa VLT, darubini zote nne zinaweza kufanya kazi pamoja. 00:06:37:12,00:06:40:19,Kwa nyongeza, Darubini saidizi ndogo mbalimbali zinaweza pia 00:06:40:20,00:06:44:22,kuungana kwenye safu kwa ajili ya kuongeza mwono zaidi 00:06:45:20,00:06:49:10,Darubini nyingine kubwa zinaweza kupatikana sehemu nyingi duniani. 00:06:49:11,00:06:53:12,Subaru na Gemin Kaskazini ya Mauna Kea. 00:06:53:13,00:06:58:06,Darubini za Gemini Kusini na Magellan huko Chile. 00:06:58:07,00:07:02:07,Darubini kubwa huko Arizona. 00:07:04:04,00:07:06:20,Zimejengwakwenye maeneo mazuri. 00:07:06:20,00:07:09:18,Yaliyo juu na ukavu, yanayoonekana vizuri na yenye giza. 00:07:09:20,00:07:12:16,Macho yake ni makubwa kama mabwawa ya kuogelea. 00:07:12:18,00:07:16:10,Uwepo wa vifaa vyote na stadi rekebishi ya kuona na mwanga zinazuia ukungu 00:07:16:10,00:07:18:02,matokeo ya angahewa. 00:07:18:04,00:07:21:24,Na wakati mwingine zinaweza kuwa na uthabiti wa ukubwa kweli kweli 00:07:22:00,00:07:24:16,shukrani kwa mwingiliano wa mawimbi. 00:07:25:16,00:07:27:20,Hapa ndipo tuone na vile walichotuonyesha. 00:07:27:22,00:07:29:10,Sayari 00:07:32:14,00:07:34:06,Mawingu ya vumbi na nyota katika anga za juu 00:07:35:08,00:07:39:24,Ukubwa halisina maumbo ya mabogaya baadhi ya nyota. 00:07:39:24,00:07:43:04,Sayari tulivu inayozunguka kibete cha hudhurungi. 00:07:43:04,00:07:47:12,Na nyota kubwa zinazozunguka kwa kasi sehemu ya ndani ya galaksi yetu ya Njia ya Nyota. 00:07:47:14,00:07:52:18,inayoongozwa na uvutano wa gravity ya tabaka nene la tundu la giza (black.hole) 00:07:52:20,00:07:56:10,Tumefikia njia ndefu toka siku za Galileo.