//Font select and font size $FontName = Arial $FontSize = 30 //Character attributes (global) $Bold = FALSE $UnderLined = FALSE $Italic = FALSE //Position Control $HorzAlign = Center $VertAlign = Bottom $XOffset = 0 $YOffset = 0 //Contrast Control $TextContrast = 15 $Outline1Contrast = 8 $Outline2Contrast = 15 $BackgroundContrast = 0 //Effects Control $ForceDisplay = FALSE $FadeIn = 0 $FadeOut = 0 //Other Controls $TapeOffset = FALSE //$SetFilePathToken = <<:>> //Subtitles 00:00:00:00,00:00:04:19,5. Kuona Visivyooneka 00:00:06:08,00:00:09:02,Unaposikiliza muziki unaopenda, masikio yako hupokea 00:00:09:03,00:00:12:20,kiasi kikubwa cha mibembea kutoka katika muungunimo mkubwa 00:00:12:21,00:00:16:03,wa besi hadi pichi ndefu ya metetemo. 00:00:16:04,00:00:18:24,Sasa fikiria masikio yako yangengekuwa yangeshindwa kusikia. 00:00:19:08,00:00:20:23,mibembea yote ya sauti 00:00:20:24,00:00:23:13,Usingesikia sauti nyingi nzuri nzuri! 00:00:23:14,00:00:27:00,Lakini hiyo ndiyo hali yakimsingi ambayo wamo wanaastronomia. 00:00:27:01,00:00:30:04,Macho yetu yanaona kiasi kidogo tu. 00:00:30:05,00:00:33:00,cha mibembea ya mwanga: mwanga unaonekana. 00:00:33:01,00:00:35:14,Lakini sisi ni vipofu kabisa kwa aina zingine zote za. 00:00:35:15,00:00:37:15,mionzi ya mwanga wa umeme-smaku. 00:00:37:16,00:00:40:16,Pamoja na hayo, kuna vitu vingi katika ulimwengu wetu ambavyo vintoa. 00:00:40:17,00:00:43:24,mionzi iliyopo kwenye sehemu nyinginezo za mwanga wa umme-sumaku. 00:00:44:00,00:00:47:19,Kwa mfano kutoka miaka ya 1930s iligundulika kwa bahati tu . 00:00:47:20,00:00:51:06,kwamba kuna mawimbi ya redio yatokayo kutoka kina cha anga. 00:00:51:07,00:00:53:24,Baadhi ya haya mawimbi yana mibembea sawa na. 00:00:54:00,00:00:57:04,ile ya kituo chako redio unayosikiliza kawaida lakini ina sauti dhaifu na kwa uhakika. 00:00:57:05,00:00:59:07,hakuna kitu cha kusikiliza! 00:01:00:12,00:01:03:24,Ili kuweza kushika mawimbi ya redio kutoka nje ya dunia yetu unahitaji aina ya 00:01:04:00,00:01:06:14,kipokea mawimbi cha redio: yaani darubini ya redio. 00:01:06:16,00:01:10:24,Sasa kwa vyote ila mawimbi ya masafa marefu, darubini ya redio ni kama tenga kubwa tu. 00:01:11:00,00:01:14:02,Kama vile kilivyo kioo cha nyuma katika darubini ya kuangalia nyota. 00:01:14:04,00:01:18:10,Lakini kwa vile mawimbi ya redio ni mirefuzaidi ya mawimbi ya mwanga unaonekna. 00:01:18:10,00:01:21:06,Uso wa tenga la darubini ya redio haitakiwi kuwa unakaribia ulaini. 00:01:21:08,00:01:23:00,.kama uso wa kioo. 00:01:23:02,00:01:25:16,Na hiyo ndio sababu ya kwanini ni rahisi zaidi kutengeneza. 00:01:25:16,00:01:30:20,darubini kubwa ya redio kuliko kutengeneza darubini ya mwanga wa kawaida yenye kioo kikubwa. 00:01:30:20,00:01:34:24,Pia katika masafa marefu ya mawimbi ya redio ni rahisi zaidi kuunganisha mawimbi. 00:01:34:24,00:01:38:02,Yaani, kuongeza kina ya habari ambazo zinaweza kuonekana. 00:01:38:02,00:01:41:24,kwa kuunganisha mwanga kutoka darubini mbili tofauti 00:01:42:00,00:01:45:14,kana kwamba zilikuwa sehemu ya tenga moja kubwa zaidi. 00:01:45:14,00:01:48:16,Kwa mfano darubini ya redio ya “Very Large Array” pale New Mexico ina. 00:01:48:16,00:01:53:18,antena 27 tofauti kila moja inapima mita 25 kwa upana 00:01:53:18,00:01:56:24,Sasa kila atena inaweza kuhamishwa peke yake, na 00:01:57:00,00:02:00:10,katika umbo lake pana zaidi, tenga la redio linalowezatokeza 00:02:00:12,00:02:04:20,lenye upana wa kilometa 36. 00:02:04:22,00:02:07:14,Hivyo je, katika mawimbi ya redio ulimwengu wetu unaonekanaje? 00:02:07:16,00:02:12:00,Kwa kuanzia, Jua letu huangaza kwa ngavu zaidi katika mawimbi ya redio. 00:02:12:02,00:02:14:18,Vivyo hivyo kitovu cha Galaxi yetu ya “Milky Way” 00:02:14:18,00:02:16:10,Lakini kuna zaidi. 00:02:16:12,00:02:20:12,“Pulsars” ni mizoga ya nyota zenye uzito zaidi ambazo zina toa mawimbi ya redio. 00:02:20:12,00:02:22:16,kutoka mihimili mwembamba tu. 00:02:22:16,00:02:25:20,Kwa kuongeza, huzuguka kwa mwendokasi hadi kwenye mamia kadhaa. 00:02:25:20,00:02:27:18,ya mzunguko kwa sekunde. 00:02:27:18,00:02:31:20,Hivyo kwa kweli “pulsar” huonekana midundo ya taa inayozunguka katika wa mnara wa taa wa kuongoza meli. 00:02:31:22,00:02:35:08,Na tunachokiona kutokana navyo ni. 00:02:35:08,00:02:38:08,midundo fupi ya redio yenye mpangilio wa haraka. 00:02:38:10,00:02:40:16,Hatimaye jina lake “Pulsar” kutoka “pulse” yaani mdundo. 00:02:40:16,00:02:43:08,Chanzo cha redio kijulikanacho kama Cassiopeia A kwa kweli. 00:02:43:10,00:02:47:16,ni mabaki ya “supernova” ambayo iligunduliwa karne ya 17. 00:02:47:16,00:02:52:06,Centaraus A, Cygnus A, na Virgo A zote ni makundi makubwa ya nyota 00:02:52:06,00:02:54:16,ambayo hutoa kiasi kikubwa cha mawimbi ya redio. 00:02:54:16,00:02:59:24,Kila galaxi hupata nguvu kutokana na “blackhole” (shimo la mwanga) iliyo katikati yake 00:03:00:00,00:03:04:00,Baadhi ya hizi redio galaksi na “quasars” yanatoa mwanga wa redio yenye nguvu sana kiasi kwamba . 00:03:04:02,00:03:09:08,alama zake zinaweza kuonekana kutoka umbali mwanga-miaka billion 10. 00:03:09:08,00:03:12:22,Na pia kunasikika sauti ya mawimbi ya redio ya masafa mafupi. 00:03:12:24,00:03:15:08,ambayo imeenea katika ulimwengu wetu wote. 00:03:15:08,00:03:18:04,Hii hujuiikana kama “cosmic microwave background” – mawimbi ya mikro yanaotomulika kwa pande zote. 00:03:18:04,00:03:20:10,na ni mwangwi wa Mshindo Mkubwa (Big Bang). 00:03:20:10,00:03:24:14,Mng’aro halisi wa joto la ya mwanzo wa ulimwengu wetu. 00:03:26:02,00:03:30:10,Kila sehemu ya mibembea ya mwanga ina hadithi yake ya kuzungumzia. 00:03:30:10,00:03:33:24,Katika milimeta na chini ya mimimeta ya masafa ya mawimbi wanaastronomia hujifunza. 00:03:33:24,00:03:37:02,jinsi galaxi zilivyundika wakati wa mwanzo wa Ulimwengu wetu. 00:03:37:04,00:03:41:06,chanzo cha kuundwa nyota na sayari katika glaxi yetu. 00:03:41:06,00:03:45:10,Lakini nyingi ya hii mionzi umefunikwa na mvuke wa maji katika anga letu. 00:03:45:12,00:03:48:10,Ili kuchunguza mionzi hii, unahitaji kwenda juu na kwenye kukavu. 00:03:48:10,00:03:51:08,Kwa “Liano de Chajnantor” kwa mfano 00:03:51:10,00:03:54:24,iliyopo kilometa tano juu ya usawa wa bahari, katika sehemu hii ya ajabu 00:03:54:24,00:03:57:24,huko Chile ya kaskazini ni eneo la ujenzi da ALMA: 00:03:58:00,00:04:00:22,“Atacama Large Millimeter Array” 00:04:00:22,00:04:05:22,Itakapomalizika mnamo 2014 ALMA itakuwa ni 00:04:05:22,00:04:08:08,Kituo cha darubini ya kikubwa kuliko zote kujegwa duiniani. 00:04:08:20,00:04:13:24,64 Antenna 64 ambazo kila moja ina uzito wa tanni 100 zitafanya kazi kwa pamoja. 00:04:13:24,00:04:17:22,Lori kubwa zenye nguvu zitazisukuma kuzitawanya katika eneo lenye ukubwa kama wa London ili 00:04:17:24,00:04:20:20,Kupata kinaganaga taswira za anga, au kuziweka pamoja 00:04:20:22,00:04:23:00,kuta muono wa kipana. 00:04:23:02,00:04:27:06,Kila mzunguko utatfanyika kwa usahihi wa milimeta. 00:04:28:16,00:04:32:04,Vitu vingi katikika Ulimwengu wetu pia hung’aa kwa mionzi ya joto - “infrared”. 00:04:32:06,00:04:35:24,Iliyogunduliwa na WilliamHerschell, “infrared” pia mara nyingi huitwa. 00:04:36:00,00:04:40:18,mionzi ya joto kwa sababu hutokezwa kwa kiasi cha vitu vyote vyenye joto. 00:04:40:18,00:04:43:02,ikiwa ni pamoja na binadamu. 00:04:45:20,00:04:49:06,Unaweza ukawa na ufahamu mionzi-joto zaidi ya unavyofikiri. 00:04:49:08,00:04:52:06,Kwa sababu hapa dunia aina hii ya mionzi hutumiwa. 00:04:52:08,00:04:55:04,na miwani na kamera yakuonea usiku. 00:04:55:06,00:04:59:04,Lakini ili kugundua mng’aro hafifu wa mionzi-joto kutoka katika vitu vilivyo mbali sana, wanaastronomia. 00:04:59:06,00:05:02:24,wanahitaji vigunduzi vilichopozwa sana - nyuzi chache tu juu ya nyuzijoto sifuri halizi (absolute zero) ili 00:05:03:00,00:05:08:00,kukandamiza mionzi ya joto yao wenyewe. 00:05:10:22,00:05:15:18,Leo, darubini nyingi kubwa za macho pia zimeundwa na kamera za mionzi-joto. 00:05:15:18,00:05:19:08,Zinakuruhusu kuona mwanga uliopita kati ya wingu la vumbi anga za juu, ukidhirisha 00:05:19:10,00:05:24:06,nyota mpya zinazozaliwa ndani yake, kitu ambachohakiwezi kuonekana kwa darubini za macho pekee. 00:05:24:06,00:05:29:02,Kwa mfano chukua taswira hii kizazi cha nyota mashuhuri katika kundi la nyota ya Orion. 00:05:29:04,00:05:31:10,Lakini angalia ni jinsi gani ilivyoofauti inapoonekana kupitia macho 00:05:31:12,00:05:34:02,ya kamera ya mionzi-joto! 00:05:34:04,00:05:37:08,Kuweza kuona katika miali ya mionzi-joto iansaidia sana ukitaka kujifunza kuhusu. 00:05:37:08,00:05:39:24,galaxi zilizo mbali sana. 00:05:39:24,00:05:45:00,Nyota zilizozaliwa tu katika galaxi changa zinang’aa kwa uang’avu zaidi katika urujuani (ultraviolet). 00:05:45:02,00:05:49:00,Lakini pia huu mwanga wa urujuani husafiri kwa mabillioni ya miaka kuvuka 00:05:49:02,00:05:50:16,Ulimwengu wetu huu unaozidi kupanuka. 00:05:50:18,00:05:54:14,Upanuzi huu hutanua mawimbi kiasi kwamba tunapoyapokea. 00:05:54:14,00:05:59:06,yanakuwa yalisha hamishwa kutoka mibembea yake na kuwa mionzi-joto. 00:06:00:14,00:06:04:06,Kifaa hiki cha mtindo wakisasa ni darubini ya MAGIC huko la Palma. 00:06:04:08,00:06:06:24,Inachunguza miali ya gama kutoka anga za juu. 00:06:06:24,00:06:10:20,ni mionzi enye nguvu zaidi kiasili. 00:06:12:08,00:06:14:24,Ni bahati yetu kwamba miali ya gama inayosababisha mauti inazuiwa na 00:06:14:24,00:06:16:08,angahewa la dunia. 00:06:16:08,00:06:20:00,Lakini huacha nyayo ambazo wanaastronomia wanatumia kutafiti. 00:06:20:02,00:06:23:00,Baada ya kugonga angahewa, miali y agama huzalisha maporomoko. 00:06:23:02,00:06:24:16,ya chembe chembe zenye nguvu 00:06:24:18,00:06:29:08,Hizi, kwa upande mwingine husababisha mng’aro uliofifia ambao MAGIC inaweza kuona. 00:06:30:22,00:06:34:16,Na hapa ni Darubini ya Pierre AUGER toka Agentina 00:06:34:16,00:06:37:02,Hata haifanani hata na darubini. 00:06:37:02,00:06:42:24,Pierre Auger ina vigunduzi 1,600 vilivyoenea zaidi ya 00:06:42:24,00:06:44:06,kilometa za mraba 3000. 00:06:44:08,00:06:48:14,Hukamata mtawaniko na chembe chembe za mionzi ya anga za juu kutoka “supernova” za mbali. 00:06:48:14,00:06:50:12,na “blackholes” (mashimo la mwanga) 00:06:51:16,00:06:56:10,Na vipi kuhusu vigunduzi vya “neutrino”, vilivyojengwa chini migodini au chini ya 00:06:56:12,00:06:59:18,sura ya bahari au katika barafu ya Antaktiki 00:06:59:20,00:07:01:22,Waweza kuziita zote darubini? 00:07:01:24,00:07:03:10,Je, kwa nini tusiweze? 00:07:03:12,00:07:07:20,Kwa ujumla, yote hutumika katika ugunduzi Ulimwengu wetu hata kama hazinasi data kutoka 00:07:07:20,00:07:10:02,mibembea ya mionzi ya kwaida ya umeme-smaku. 00:07:10:02,00:07:13:22,“Neutrino” ni chembe chembe telezi ambazo hzalishwa katika jua 00:07:13:24,00:07:16:06,na milipuko ya nyota katika nova kuu “supernova” 00:07:16:08,00:07:19:20,Zilizalishwa pia katika Mishindo Mikubwa uliounda Ulimwengu wetu (Big Bang) 00:07:19:22,00:07:24:16,Tofauti na cembe chembe zingi za asili, “neutrino” zinaweza kupita. 00:07:24:16,00:07:29:16,katika maada ya kawaida zikasafiri kwa mwendokasi karibu ule wa mwanga na haina chaji, ya umeme. 00:07:29:18,00:07:34:06,Ingawa chembe chembe hizi ni ngumu kuzitafiti, ziko nyingi mno. 00:07:34:06,00:07:38:04,Kila sekunde zaidi ya trillioni 50 za “electron neutrino” kutoka katika jua. 00:07:38:04,00:07:40:14,hupita katikati yako 00:07:40:16,00:07:44:20,Mwishoni wanaastronomia na wanataalamu wa fizikia wameunganisha nguvu zao kutengeneza 00:07:44:22,00:07:46:16,vigunduzi vya kugundua mawimbi ya mvuto wa ardhi (gravitational waves) 00:07:46:16,00:07:50:16,Hizi “darubini” hazinesi mionzi wala kukamata chemchembe 00:07:50:16,00:07:55:06,Badala yake hupima milio midogo sana wa viwimbi katika muundo nhasa wa nafasi- muda (space-time) 00:07:55:06,00:08:00:24,Wazo lililobashiriwa na nadharia ya Albert Einstein isemayo kwamba vipimo vya mwendo, nafasi na wakati vianwiana. 00:08:01:00,00:08:05:04,Kwa kutumia vifaa vizuri mno wanaastronomia wame fungua kwa uwazi kabisa 00:08:05:04,00:08:10:24,mibembea yote ya mionzi ya chuma-sumaku na hata wame piga hatua mbele zaidi. 00:08:11:00,00:08:15:06,Lakini baadhi ya uchunguzi haziwezi tu kufanywa ardhini. 00:08:15:06,00:08:16:20,Jibu? 00:08:16:22,00:08:19:06,Darubini za angani