//Font select and font size $FontName = Arial $FontSize = 30 //Character attributes (global) $Bold = FALSE $UnderLined = FALSE $Italic = FALSE //Position Control $HorzAlign = Center $VertAlign = Bottom $XOffset = 0 $YOffset = 0 //Contrast Control $TextContrast = 15 $Outline1Contrast = 8 $Outline2Contrast = 15 $BackgroundContrast = 0 //Effects Control $ForceDisplay = FALSE $FadeIn = 0 $FadeOut = 0 //Other Controls $TapeOffset = FALSE //$SetFilePathToken = <<:>> //Subtitles 00:00:00:00,00:00:04:14,6. Mbali na Dunia 00:00:06:13,00:00:08:10,Darubini ya anga ya juu ya Hubble 00:00:08:11,00:00:11:09,Ni darubini maarufu kuliko zote katika historia 00:00:11:10,00:00:12:20,Na ni kwasababu nzuri 00:00:12:21,00:00:16:14,Hubble imeletea mageuzi katika nyanja nyingi za astronomia. 00:00:16:15,00:00:20:01,Kwa viwango vya sasa, kioo cha darubuni ya Hubble kwa hakika ni kidogo sana 00:00:20:02,00:00:23:01,Ina ukubwa wa mita 2.4 tu 00:00:23:02,00:00:26:16,Lakini mahali ilipo ni nje ya dunia hii 00:00:26:17,00:00:30:09,Juu kabisa ya arhari za kiwi katika angahewa, ina upekee katika. 00:00:30:10,00:00:32:15,uonajimzuri makini wa Ulimwengu 00:00:32:16,00:00:37:09,Na cha ziada, Hubble inaweza kuona mwanga wa urujuani na miali ya joto 00:00:37:10,00:00:40:12,Huu mwanga hauwezi kabisa kuonekana kwa kutumia darubini za ardhini kwasababu 00:00:40:13,00:00:43:22,inazuwiwa na angahewa 00:00:43:23,00:00:47:22,Kamera na vifaa vya kupima mibembea, zingine ni kubwa kama kibanda cha simu 00:00:47:23,00:00:52:15,zinachangua na zinarekodi mwanga kutoka katika shikizo za mbali za Ulimwengu 00:00:52:16,00:00:57:08,Kama aina zingine za darubini za ardhini, Hubble inaendelezwa mara kwa mara. 00:00:57:09,00:01:00:19,Wanaanga watembeao angani huifanyia ukarbati. 00:01:00:20,00:01:02:11,Sehemu zilizoharibiwa hurekebishwa 00:01:02:12,00:01:05:00,Na vifaa vilivyochakaa hubadilishwa nakufungwa vipya na. 00:01:05:01,00:01:07:20,kwa teknolojia ya kiwango cha kisasa. 00:01:07:21,00:01:11:07,Hubble imekuwa msukumo wa maendeleo ya astronomia angalizi 00:01:11:08,00:01:15:06,Na imeleta mageuzi katika uelewa wetu wa Ulimwengu 00:01:17:20,00:01:22:20,Kwa uonaji wake makini, Hubble imeweza kuangalia mabadiliko ya majira katika sayari ya Meriki 00:01:23:22,00:01:26:20,kipigo cha kimondo katika sayari ya Mstarii 00:01:28:12,00:01:31:22,Kuonekana kwa pete za Zohali kwa penbeni 00:01:34:22,00:01:38:10,Na hata uso wa sayari ndogo ya Pluto 00:01:38:11,00:01:44:08,Inabainisha mzunguko wa maisha ya nyota, tangu kuzaliwa kwa nyota hizo na siku za uchanga wake. 00:01:44:14,00:01:50:14,katika chekechea ya mawingu ya gesi yenye vumbi, mpaka ustawi wake ya mwisho 00:01:50:15,00:01:55:20,Kama mawingu laini zilizopulizwa taratibu kwneye anga na nyota zinazokufa 00:01:55:22,00:02:02:24,Au kama milipuko mikubwa ya nova kuu ambayo hung’ara zaidi kuliko galaksi iliyomo. 00:02:03:00,00:02:06:24,Katika kina ya Wingu la Orion, Hubble pia imeona uwanja wa mazalio ya 00:02:07:00,00:02:12:02,mifumo ya sayari na jua; diski za vumbi kuzunguka nyota mpya zilizozaliwa ambazo muda kidogo 00:02:12:02,00:02:14:02,huganda na kuwa sayari 00:02:14:04,00:02:18:08,Darubini ya anga ilichunguza maelfu ya nyota katika mkusanyiko mkubwa. 00:02:18:10,00:02:23:24,wa nyota, familia ya nyota kongwe katika Ulimwengu 00:02:24:00,00:02:26:08,Na bila shaka, galksi zingine. 00:02:26:10,00:02:29:24,Wanaastronomia hawakuwahi kabisa kuyaona yote hayo. 00:02:29:24,00:02:36:20,Mizunguko tukufu, kufyonza mistari ya vumbi, migongano ya nguvu. 00:02:39:00,00:02:43:12,Pia muonekano kwa masaa mengi wa maeneo wazi ya anga ulibainika. 00:02:43:12,00:02:48:02,maelfu ya nyota zilizofifia mabillioni ya miaka ya mwanga iliyopita 00:02:48:02,00:02:51:24,Fotoni zilizojitokeza wakati ulimwengu bado ulikuwa mchanga kabisa. 00:02:52:00,00:02:56:10,Mwanya wa kuelewa zama za kale, unatoa maelezo mapya katika. 00:02:56:10,00:02:59:14,Ulimwengu unaoendelea kubadilika. 00:03:00:04,00:03:02:22,Hubble si darubini pekee ya anga za juu. 00:03:02:22,00:03:07:20,Hii ni darubini ya anga ya Spitzer ya NASA iliyozinduliwa Agosti 2003. 00:03:07:22,00:03:11:18,Kwa njia moja, ni sawa na Hubble lakini hutumia miale ya joto. 00:03:11:18,00:03:15:24,Spitzer ina kioo ambacho kina ukubwa wa sentimeta 85 00:03:15:24,00:03:19:02,Ila darubini hii hujificha nyuma ya ngao ya joto inayoikinga 00:03:19:04,00:03:20:12,na Jua 00:03:20:12,00:03:25:04,Na vigunduzi vimewekwa katika kifaa chenye “helium” kimiminika. 00:03:25:04,00:03:28:02,Hapa vigunduzi vyake hupozwa hadi nyuzi joto chache tu 00:03:28:04,00:03:29:20,Juu ya nyuzi sifuri halisi. 00:03:29:22,00:03:33:14,Inazozifanya zifanye kazi vizuri zaidi. 00:03:33:16,00:03:36:18,Spitzer imebainisha Ulimwengu wenye vumbi 00:03:36:18,00:03:40:14,Mawingu meusi ya vumbi huwaka kwa mwanga wa miali ya joto. 00:03:40:16,00:03:42:14,kutoka ndani 00:03:42:14,00:03:46:18,Mawimbi ya kusitusha kwenye migongano na galaksi yanakusanya vumbi za miviringiko yenye dalili 00:03:46:18,00:03:51:12,ishara za mawimbi, sehemu mpya ambako nyota hutengenezwa. 00:03:53:12,00:03:57:02,Vumbi pia linazalishwa baada ya kifo cha nyota. 00:03:57:04,00:04:01:02,Spitzer imetambua kuwa mawingu yakisayari na mabaki ya milipuko ya nova kuu zina 00:04:01:04,00:04:06:08,chembechmbe za vumbi ambayo huchukuliwa kama vijenzi muhimu vya baadaye vya sayari 00:04:06:10,00:04:10:02,Katika miali ya joto ya masafa makubwa, Spitzer inaweza pia kuangalia ndani ya wingu la vumbi. 00:04:10:04,00:04:15:18,inabainisha ndani ya nyota mlimofichwa kwa kingo za giza 00:04:15:20,00:04:18:24,Mwishowe, vifaa vya kupima mibembea katika darubini ya angani vimetambua. 00:04:18:24,00:04:22:22,Angahewa ya sayari kaika nyota zingine – sayari kubwa zenye hewa tupu kama Mshtarii 00:04:22:22,00:04:26:22,Zinazozunguka nyota mama zao kwa siku chache 00:04:28:16,00:04:30:22,Kwa hiyo vipi kuhusu mionzi ya X rei na ile ya gamma 00:04:30:22,00:04:33:14,Vema; imezuwiwa kabisa kwa angahewa ya Dunia 00:04:33:16,00:04:37:04,Kwa hiyo bila kutumia darubuni za anga wanaanga wasingeweza kuona 00:04:37:04,00:04:40:02,mwanga huu wenye nguvu. 00:04:41:16,00:04:45:02,Darubini za mionzi ya X rei na gamma hubaini joto. 00:04:45:02,00:04:49:20,ulimwengu wa kinishati na vurumai yenye mkusanyiko wa galaksi, mashimo ya mwanga (black holes). 00:04:49:20,00:04:54:02,milipuko ya nova kuu na migongano ya glaksi. 00:04:56:18,00:04:58:21,Hata hivyo, ni vigumu sana kutengeneza. 00:04:58:22,00:05:02:11,Mionzi ya kinisahti hupita moja kwa moja kwenye kioo cha kwaida. 00:05:02:12,00:05:07:17,Mionzi ya X rei inaweza kulengwa na mfululizo wa vioo pindepinde vilivyotengenezwa kwa dhahabu safi! 00:05:07:18,00:05:11:03,Na mionzi wa gamma hupimwa na kamera maalum ya jichomoja (pinhole). 00:05:11:04,00:05:14:14,au sintileta zilizoshenezwa zitoazo vipasha cheche za mwanga wa kawaida. 00:05:14:15,00:05:17:17,vikipigwa na fotoni za kichirizi cha gamma. 00:05:18:24,00:05:23:03,Mwaka 1990, NASA ilishughulikia Kituo cha Compton cha Uchunguzi wa Mionzi ya Gamma. 00:05:23:04,00:05:26:07,Wakati huo, kilikuwa ndicho setilaiti kubwa kabisa ya kisayansi 00:05:26:08,00:05:27:22,.iliyowahi kutengenezwa. 00:05:27:23,00:05:31:03,Ni maabara kamili na iliyokamilika kabisa huko angani. 00:05:31:04,00:05:34:12,Mwaka 2008, Compton ilifuatiliwa na GLAST: 00:05:34:13,00:05:38:13,Darbini ya anga ya Eneo Kubwa ya Mionzi ya Gamma. 00:05:38:14,00:05:42:03,Itachunguza kila kitu kwenye Ulimwengu wa nishati kali kutoka 00:05:42:04,00:05:44:13,mada isiyoonekana hadi “pulsar: 00:05:46:10,00:05:50:09,Kwa sasa, wanaastronomia wana darubini za X rei angani. 00:05:50:10,00:05:55:10,Kutoka NASA ni Kituo cha X rei cha Chandara na kutoka ESA ni kituo cha XMM-Newton. 00:05:55:11,00:05:59:12,vyote viwili vinachunguza sehemu zenye kupita zote Ulimwenguni. 00:06:01:25,00:06:05:17,Hivi ndivyo anga linavyoonekana kwa kutumia mwono wa X rei 00:06:05:18,00:06:10:04,Sura zilizopanuka ni mawingu ya gezi yaliyo na joto la mamilioni ya nyuzi joto. 00:06:10:05,00:06:13:17,Mawimbi ya mishituko katika mabaki ya milipuko ya nova kuu. 00:06:13:18,00:06:17:24,Vyanzo nukta nguvu ndizo nyota pacha ya X rei, nyota za nutroni au. 00:06:17:25,00:06:21:16,Mashimo ya Mwanga (Black holes) yanayo nyonya mada kutoka nyota wenza. 00:06:21:17,00:06:25:07,Gesi hii ya joto inayoangukia ndani ya Mashimo ya Mwanga inatoa X rei. 00:06:25:08,00:06:29:14,Kama ilivyo, darubini za mionziya X rei zinafichua mashimo makubwa kabisa ya mwanga katika. 00:06:29:15,00:06:31:19,Mihimili ya galaksi za mbali 00:06:31:20,00:06:35:20,Mada inavyorukia ndani kwa ndani inapata joto kali na kuanza kuwaka na mwanga wa X rei. 00:06:35:21,00:06:40:04,Kabla kidogo tu ya kuangukia ndani ya Shimo la Mwanga na kupotea moja kwa moja, 00:06:40:05,00:06:44:21,Gesi jembamba yeneye moto pia inajaza nafasi kati ya glaksi mbali mbali. 00:06:44:22,00:06:46:08,.katika mkusanyiko wa galaksi. 00:06:46:09,00:06:50:06,Wakati mwingine, gesi kati ya makusanyiko ya galaksi inashtuliwa na huwa moto hata zaidi. 00:06:50:07,00:06:54:12, .kwa kugongana na kuunganishwa kwa mikusanyiko ya galaksi. 00:06:54:13,00:06:58:19,Kinachosisimua zaidi ni milipuko ya mionzi ya gamma, 00:06:58:20,00:07:00:15,ni matukio ya nishati nyingi kuliko yote kaitiaka Ulimwengu. 00:07:00:16,00:07:04:23,Hii ni milipuko mikubwa ya maangamizi ya nyota kubwa 00:07:04:24,00:07:06:19,Na zenye kuzunguka kwa kasi 00:07:06:20,00:07:10:19,Kwa muda mfupi kuliko secunde, hutoa nishati nyingi kuliko itolewayo na jua katika 00:07:10:20,00:07:13:19,Miaka bilioni 10 00:07:16:04,00:07:20:04,Hubble, Spitzer, Chandar, XMM-Newton na GLAST. 00:07:20:05,00:07:22:15,zote ni mijitu shupavu. 00:07:22:16,00:07:25:16,Lakini darubuni nyingine za anga ni ndogo zaidi na zinafanya kazi kubwa sana 00:07:25:17,00:07:27:06,misheni zenye malengo maalum. 00:07:27:07,00:07:29:07,Chukua kwa mfano, COROT. 00:07:29:08,00:07:32:22,Setilaiti hii ya Kifaransa ina kazi maalum ya kuchunguza mitetemeko katika nyota 00:07:32:23,00:07:34:22,na sayari katika nyota za mbali na Dunia. 00:07:34:23,00:07:39:06,Au satelaiti ya NASA ya “Swift”, inayounganisha uchunguzi wa mionzi ya X rein na ya gama. 00:07:39:07,00:07:43:18,iliyotengenezwa kuelewa ajabu ya vipasuko vya mionzi ya gamma. 00:07:43:19,00:07:48:04,Halafu kuna WMAP, Uchunguzi wa Wilkison wa Kutowiana kwa Mawimbi ya Mikro. 00:07:48:05,00:07:51:21,Katika miaka zaidi tu ya miwili angani, WMAP imekwisha chora ramani 00:07:51:22,00:07:55:07,mionzi hiyo ilijoaa Ulimwenguni kwa kina isiyotarajiwa. 00:07:55:08,00:07:59:05,WMAP imewapa wanaastronomia uelewa mzuri kuliko wote hadi sasa ya 00:07:59:06,00:08:04:17,sehemu za Ulimwengu zlivyokuwa mwanzoni kabisa zaidi ya miaka bilioni 13 iliyopita. 00:08:04:18,00:08:07:16,Kufungua mipaka ya anga ni msisimko mkubwa kuliko yote. 00:08:07:17,00:08:10:06,ya maendeleo katika historia ya darubini. 00:08:10:07,00:08:12:19,Kwa hiyo, kijacho baada yah ii ni nini?