//Font select and font size $FontName = Arial $FontSize = 30 //Character attributes (global) $Bold = FALSE $UnderLined = FALSE $Italic = FALSE //Position Control $HorzAlign = Center $VertAlign = Bottom $XOffset = 0 $YOffset = 0 //Contrast Control $TextContrast = 15 $Outline1Contrast = 8 $Outline2Contrast = 15 $BackgroundContrast = 0 //Effects Control $ForceDisplay = FALSE $FadeIn = 0 $FadeOut = 0 //Other Controls $TapeOffset = FALSE //$SetFilePathToken = <<:>> //Subtitles 00:00:00:00,00:00:02:22,7. Nini Kifuatacho? 00:00:04:21,00:00:07:17,Huko Arizona, kioo cha kwanza kimekwisha tengenezwa kwa ajili ya. 00:00:07:18,00:00:09:15,“Darubini Kubwa la Megalan” (Giant Megalan Telescope) 00:00:09:16,00:00:12:22,Kifaa hiki kikubwa kitatengenezwa katika kituo cha kuangalia anga cha Las Campanas 00:00:12:23,00:00:14:14,huko Chile. 00:00:14:15,00:00:18:06,Vioo vyake saba, kila kimoja kikiwa na upana wa mita nane 00:00:18:07,00:00:21:10,vitapangwa kama majani ya ua. 00:00:21:11,00:00:24:10,Na kwa pamoja yataweza kukusanya zaidi ya mara nne ya. 00:00:24:11,00:00:27:25,.mwanga unaokusanywa na darubini yoyote ya sasa hivi. 00:00:28:01,00:00:32:11,Darubini la mita thelathini la California liliopangwa kutengenezwa 2015 00:00:32:12,00:00:35:07,ni kama aina kubwa sana ya darubini ya Keck. 00:00:35:08,00:00:38:14,Mamia ya vipande vya vioo vitkuwa kama kioo kimoja 00:00:38:15,00:00:42:18,kubwa kama jengo la ghorofa sita. 00:00:42:19,00:00:47:13,Huko Ulaya, mipango imetayarishwa ya “Darubini Kubwa Kabisa ya Ulaya” (European Extremely Large Telescope) 00:00:47:25,00:00:51:09,Ikiwa na kioo chenye upana wa mita 42, kioo chake kitakuwa na ukubwa. 00:00:51:10,00:00:54:21,wa nusu ya uwanja wa mpira, mara mbili ya eneo la 00:00:54:22,00:00:57:01,“Darubini ya Mita Thelathini” (Thirty Meter Telescope) 00:00:57:02,00:01:01:15,Darubini kubwa kabisa hizi za mbeleni, zakupima vizuri miali ya joto. 00:01:01:16,00:01:06:09,zote zikifungiwa mitambo nyeti na ya kupinda mwanga vizuri. 00:01:06:10,00:01:09:01,Zinategemewa kuvumbua glaksi za wakati wa mwanzo wa Ulimwengu wetu 00:01:09:02,00:01:12:08,na nyota za zamani kabisa Ulimwenguni. 00:01:12:09,00:01:15:08,Zaidi ya hiyo, zinaweza kutupatia picha halisi 00:01:15:09,00:01:18:09,ya sayari zilizopo katika mfumo mwingine wa sayari na jua. 00:01:18:10,00:01:22:05,Kwa wanaastronomia wa mwanzo wa redio mita, 42 ni ndogo kabisa 00:01:22:06,00:01:24:23,Wana unganisha darubini ndogo ndogo kutengeneza. 00:01:24:24,00:01:27:07,darubini kubwa zaidi. 00:01:27:08,00:01:30:25,Huko Uholanzi, mpangilio wa mibembea midogo (Low Frequency Array) LOFAR 00:01:31:01,00:01:32:18,inatengenezwa sasa hivi. 00:01:32:19,00:01:38:01,Nyanya za optiki zita unganisha antena 30,000 kwenye komputa kabambe. 00:01:38:02,00:01:41:16,Rasimu hii mpya haina sehemu zinazotembea lakini inaweza kuona. 00:01:41:17,00:01:45:01,pande nane kwa pamoja 00:01:45:02,00:01:48:08,Technologia ya LOFAR inawezekana itatumika katika mpangilio wa mraba wa 00:01:48:09,00:01:50:20,wa kilomita ambayo sasa inapanda katika orodha ya mahitaji muhimu 00:01:50:21,00:01:52:19,ya wanaastronomia wa redio 00:01:52:20,00:01:56:21,Mpangilio huu wa kimataifa unaweza ukitengenezwa Australia au Afrika ya Kusini 00:01:56:22,00:02:00:19,Matenga makubwa na ndogo ya Satellite zitaunganishwa kutupatia. 00:02:00:20,00:02:05:03,picha zitakazo onyesha anga ya redio kwa undani kabisa. 00:02:05:04,00:02:08:23,Na zikiwa na eneo la ukusanyaji wa mraba moja ya kilometa 00:02:08:24,00:02:12:16,mpangilio huu mpya utakuwa na uwezo mkubwa kuliko mitambo mingine yoyote ya redio 00:02:12:17,00:02:15:03,iliotengenzwa popote. 00:02:15:04,00:02:20:06,Evolving Galaksi zinazokuwa, “Quasars” kubwa na “Pulsars” zenye nguvu zinazopepesa, 00:02:20:07,00:02:23:25,hakuna kituchochote chenye kutoa mwanga wa redio utaweza kukweupa macho haya ya kijasusi 00:02:24:01,00:02:26:24,ya Mpangilio wa Mraba wa Kilometa. 00:02:26:25,00:02:30:12,Mitambo hii pia itatafuta muuliko utolewao na 00:02:30:13,00:02:34:01,viumbe vya kiajinabi nje ya dunia. 00:02:34:02,00:02:37:09,Na vipi anga za juu? 00:02:37:10,00:02:41:06,Sasa, baada ya matengenzo ya tano na ya mwisho “Darubini ya Anga za Juu ya HUBBLE” 00:02:41:07,00:02:46:17,itaendelea kufanya kazi hadi 2013 hivi. 00:02:46:18,00:02:50:23,Wakati huo chombo kingine kitapelekwa angani 00:02:52:23,00:02:56:23,Kutana na Darubini ya Anga za Juu ya Webb, darubini ya miali ya joto (infrared) 00:02:56:24,00:03:02:17,Iliyo pata jina kutoka kwa mfanya kazi mmoja wa NASA. 00:03:02:18,00:03:07:01,Ikisha pelekwa angani, kioo chake cha mita 6.5 yenye vioo vidogo vita funuka 00:03:07:02,00:03:10:17,kama ua linalo chanua yenye uwezo mara saba ya uono 00:03:10:18,00:03:13:14,wa Hubble. 00:03:13:15,00:03:16:18,Uzio mkubwa kufunika mwanga wa Jua utaweka mitambo yake ya kuangalia mwanga na 00:03:16:19,00:03:20:04,mitambo inayofanya kazi katika baridi katika kivuli kila mara na kuiwezesha kufanya kazi katika 00:03:20:05,00:03:25:05,Halijoto ndogo kabisa ya degree za joto za Celcius (sentigredi) 233 chini ya sifuri 00:03:26:09,00:03:30:02,Darubini ya James Webb haitazunguka Dunia. 00:03:30:03,00:03:33:21,Ila itawekwa sehemu moja kilomita millioni moja na nusu kutoka 00:03:33:22,00:03:38:02,Duniani katika mzunguko mpana wa kuzunguka Jua. 00:03:38:03,00:03:41:07,Miaka hamsini iliyopita, Darubini ya Hale, juu ya Mlima Palomar 00:03:41:08,00:03:43:04,ilikuwa kubwa katika historia. 00:03:43:04,00:03:47:08,Sasa, hata kubwa zaidi ya hiyo itarushwa katika anga za juu kabisa. 00:03:47:08,00:03:51:16,Tunaweza kubuni tu mavumbuzi ya kusisimua darubini hii itakyoleta. 00:03:51:17,00:03:53:22,Weka masikio na macho wazi! 00:03:54:08,00:03:57:02,Wakati huo, mainginia vumbuaji wana kuja na mirasimu ya 00:03:57:03,00:03:59:23,ki mapinduzi kwa darubini za aina mpya kila mara. 00:03:59:24,00:04:04:06,Huko Canada, wanasayansi wametengeneza kinachoitwa “Darubini ya kioo cha ki maji maji” 00:04:04:07,00:04:07:10,Katika darubini hii mwanga wa nyota una akisiiwa siyo na 00:04:07:11,00:04:11:14,kioo cha kawaida, ila na sura mviringo ya 00:04:11:15,00:04:14:20,.Zebaki ya kimajimaji inayo zungushwa. 00:04:14:21,00:04:18:14,Kutokana jinisi zinavyo fanya kazi darubini za zebaki zinaweza kuagalia juu tu, 00:04:18:15,00:04:21:08,lakini faida yake ni gharama ndogo 00:04:21:09,00:04:23:14,nakuweza kutengenezwa kwa urahisi. 00:04:23:15,00:04:26:16,Wanaastronomia wa redio wanataka kuweka mfulilizo kama wa LOFAR 00:04:26:17,00:04:29:14,wa antena ndogo ndogo hizo huko Mwezini, mbali iwezekanayo na. 00:04:29:15,00:04:33:02,mwingiliano wa vyanzo vya mionzi ya redio kutoka Duniani. 00:04:33:03,00:04:35:18,Nani ajuae, siku moja kuweza kuwepo hata darubini kubwa ya mwanga wa kawaida 00:04:35:19,00:04:38:14,katika upande wa pili wa Mwezi. 00:04:38:15,00:04:41:14,Na kwa kutumia darubini za angani na mifunikio, wanaastrnomia 00:04:41:15,00:04:44:04,wa mionzi ya X-ray wanategemea kuboresha macho yao kiasi kikubwa 00:04:44:05,00:04:45:06,huko mbeleni. 00:04:45:07,00:04:47:23,Wanaweza hata waka fanikiwa kupata picha ya ncha ya. 00:04:47:24,00:04:49:24,Shimo la mwanga (Black hole) 00:04:51:18,00:04:54:19,Siku moja hiyo darubini inaweza kujibu maswali muhimu sana. 00:04:54:20,00:05:01:01,yanayo watatanisha binadamu: je tuko pekee yetu katika ulimwengu huu? 00:05:04:16,00:05:08:00,Tunajua kuwa kuna mifumo mingine ya jua huko mbali 00:05:08:02,00:05:10:12,Pia tunadhani kuna sayari kama Duniya yetu huko ikiwa na 00:05:10:14,00:05:12:10,maji 00:05:12:12,00:05:13:10,Lakini. 00:05:13:12,00:05:15:16,je kuna uhai huko? 00:05:16:12,00:05:20:08,Kutafuta sayari za mbali huko ina ugumu 00:05:20:10,00:05:22:22,Mara nyingi zinafichiwa kutoka kwa wanaastronamia na. 00:05:22:22,00:05:26:04,mwanga kali sana wa jua-mama yao 00:05:27:02,00:05:30:06,Mkusanyiko wa darubini zilizo katika giza ya anga ya juu 00:05:30:08,00:05:32:24,inaweza kutupa majibu mapya 00:05:32:24,00:05:35:18,Kwa sasa NASA inawaza mradi uitwao 00:05:35:18,00:05:38:08,”Utafutaji wa sayari kama Dunia” 00:05:38:10,00:05:42:22,Na huko Ualya wanasayansi wanarasimu “Mpangalio wa Darwin” 00:05:42:24,00:05:46:14,Darubini sita zitakazozunguka Jua katiak mpangilio maalum 00:05:46:16,00:05:50:18,“Leza” zitadhibiti umbali kati ya darubini kuwa karibu nanomita moja (sehemu malioni kwa sentimeta moja) 00:05:50:18,00:05:54:10,Kwa pamoja zitikuwa na uwezo mkubwa wa kutenga 00:05:54:10,00:05:58:06,mwanga wa jua zao, ili wanasayansi waweze kuona 00:05:58:08,00:06:02:00,sayari kama Dunia kama yetu zinazozunguka nyota zingine. 00:06:02:20,00:06:07:02,Baada ya hapo wanaastronomia lazima wa chunguze mwanga uliakisiwa na sayari hiyo 00:06:07:04,00:06:12:04,Mibembea ya mwanga huo utaonyesha dalili za anga ya sayari hiyo 00:06:12:04,00:06:15:12,Nani ajuaye, katika miaka 15 ijayo tunaweza tukatambua dalili. 00:06:15:12,00:06:17:20,ya gesi ya oxygen ,methane na ozone 00:06:17:22,00:06:21:00,Ambazo ni dalili ya uhai 00:06:23:04,00:06:25:18,Ulimwengu umejaa mishangao 00:06:25:20,00:06:28:04,Anga hazimalizi kutushangaza 00:06:28:06,00:06:31:04,Si ajabu mamia na maelfu ya wanaastronomia wa kawaida 00:06:31:04,00:06:33:18,Duniani kote hutoka nje usiku kwenye anga wazi na kushangaa. 00:06:33:20,00:06:35:10,Ulimwengu wetu wote 00:06:35:10,00:06:37:18,Darubini zao ni nzuri mno kuliko 00:06:37:20,00:06:39:04,aliotmia Galileo. 00:06:39:04,00:06:42:20,Picha zao za electroniki huzidi hata picha za kawaida zilizo chukuliwa 00:06:42:20,00:06:45:24,wanaastronomia miaka kumi au ishirini zilizopita. 00:06:46:00,00:06:49:10,Upekuzi wa kuelewa Ulimwengu wetu na wanaastronomia, kwa kutumia darubini 00:06:49:10,00:06:52:24,ni kama miaka 400 tu. 00:06:52:24,00:06:57:06,Bado kuna maeneo mengi yasiyojulikana hapo angani. 00:06:57:18,00:07:01:02,Tumefika mbali tangu Galileo aanze kuelewa anga 00:07:01:04,00:07:04:10,kwa darubini yake karne 4 ilitopita . 00:07:04:10,00:07:07:16,Leo tunaendelea kuangalia Ulimwengu wetu na darubini 00:07:07:16,00:07:13:00,siyo tu tukuto hapa duniani lakini katika sehemu zisizihesabika za anga za juu 00:07:13:02,00:07:16:18,Mbegu za ubinadamu upo katika chemchem isiyoisha 00:07:16:20,00:07:19:22,ya wakevu na shani ya uvumbuzi 00:07:19:24,00:07:22:14,Tumeanza tu kujibu maswali makubwa makubwa 00:07:22:14,00:07:24:16,yaliyoulizwa 00:07:24:16,00:07:27:08,Na tumevumbua sayari 300 yanaozunguka nyota zingine katika 00:07:27:08,00:07:31:10,galaxy yetu ya Njia ya Nyota nakupata molekyli za mahuluki katika sayari. 00:07:31:10,00:07:34:24,katika nyota za mbali kabisa 00:07:34:24,00:07:39:16,Mavumbizi ya ajabu haya yanaweza kuonekana kama kilele cha uvumbuzi kwa binadamu 00:07:39:17,00:07:43:18,lakini mazuri mengi si mashaka bado yatakuja 00:07:43:20,00:07:46:16,Wewe pia unaweza kujiunga katika uvumbuzi huu 00:07:46:16,00:07:51:10,Angalia juu na ustaajabu.